Kuangalia matoke ya NECTA , ni rahisa unahitaji kuingia katika tovuti ya matokeo na kuchagua shule husika
Kudownload matokeo ya NECTA
inategemea unatumia kifaa cha aina gani.
Kwa kutumi computer baada ya page ya shule husika nenda kwenye tab ya browser yako then chagua print page then chagua print pdf hapo utayapata matokeo katika soft copy ya pdf

Kwa kumia simu katika browser kama "opera" chagua save page then save as pdf au baadhi ya simu print as pdf
